Sheikh wa al Azhar alaani shambulizi dhidi ya kanisa

IQNA

Sheikh Mkuu wa al al Azhar nchini Misri amelaani vikali shambulizi la kigaidi lililofanywa na watu wasiojulikana dhidi ya kanisa la al Adh'raa katika wilaya ya Giza.
Habari ID: 1761    Tarehe ya kuchapishwa : 2013/10/27